************
TAARIFA KWA UMMA
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unapenda kuhabarisha
Umma kuwa umehamishia rasmi ofisi yake ya makao makuu mjini
DODOMA katika ofisi zilizopo jengo la PSSSF zamani LAPF mtaa
wa Makole Uhindini kuanzia tarehe 19 Agosti 2019.
Mawasiliano ya Wakala yatakayotumika kuanzia sasa ni kama
ifuatavyo:
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA),
Barabara ya Makole,
S.L.P 1075,
Jengo la PSSSF, Ghorofa ya 8,
DODOMA.
Namba za Simu: +255-22-28662796/97
Nukushi: +255-22-2865835
Namba ya Bure: 0800110379
Imetolewa na:
Kitengo cha Masoko na Uhusiano
TEMESA