Home Mchanganyiko Waziri Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Ujerumani Nchini

Waziri Mwakyembe Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Ujerumani Nchini

0

Waziri wa Habari, Utamaduni Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)akifafanua jambo kwa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter (katikati) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri katika Ofisi za Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali katika kuimarisha sekta ya Utamaduni, kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni kutoka ubalozi huo Bi. Ursula Thraen Lardi.

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter (katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri katika Ofisi za Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali katika kuimarisha sekta ya Utamaduni, kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni kutoka ubalozi huo Bi. Ursula Thraen Lardi.

Waziri wa Habari, Utamaduni Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akimuonesha Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter (katikati) pikipiki iliyotumiwa na mpigania uhuru wa Msumbiji, Hayati Samora Machel, wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri katika Ofisi za Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali katika kuimarisha sekta ya Utamaduni.

Waziri wa Habari, Utamaduni Dk. Harrison Mwakyembe (katikati)akiagana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri katika Ofisi za Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali katika kuimarisha sekta ya Utamaduni, kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni kutoka ubalozi huo Bi. Ursula Thraen Lardi.