Home Mchanganyiko MAAFISA OFISI YA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU SHUGHULI ZA BUNGE KATIKA MAONESHO...

MAAFISA OFISI YA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU SHUGHULI ZA BUNGE KATIKA MAONESHO YA KILIMO NZUNGUNI JIJINI DODOMA

0

Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Mwandamizi, Ndg. Patson Sobha akizungumza na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Marie De Mattias walipotembelea leo katika Banda la Bunge katika Maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya nzunguni Jijini Dodoma.

Mwanasheria wa Ofisi ya Bunge, Ndg. Mossy Lukuvi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Marie De Mattias walipotembelea leo katika Banda la Bunge katika Maonesho ya kilimo yanayoendelea katika viwanja vya nzunguni Jijini Dodoma.

Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Mwandamizi, Ndg. Patson Sobha akiwaelezea wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Marie De Mattias kuhusu umuhimu wa Siwa wakati walipotembelea leo katika Banda la Bunge katika Maonesho ya kilimo yanayoendelea katika viwanja vya nzunguni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwanasheria wa Ofisi ya Bunge, Ndg. Mossy Lukuvi.

Wanafunzi wa Darasa la saba Shule ya Msingi wa Marie De Mattias wakiwasili katika Banda la Bunge katika Maonesho ya kilimo yanayoendelea katika viwanja vya nzunguni Jijini Dodoma.