Waziri wa Mali Asili na Utalii,Mh Hamis Kigwangala akiangalia mpunga uliotokana na mbegu aina ya Supa BC iliyoboreshwa kwa Teknolojia ya Nyuklia kwa kutumia mionzi ya Gamma iliyotumika kumulika mbegu sa zamani ainabya Supa,Mradi ulifadhiliwa na Shirika la Nguvu za Atomiki la Kimataifa(IAEA) na kuratibiwa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania(TAEC) kwa kushirikiana na Chuo kikuu cha Kilimo (SUA) na Taasisi ya Kilimo Zanzibara(ZARI) ambapo kwa sasa wananchi wa visiwani Zanzibar wanatumia mchele uliotokana na mbegu hiyo tangu mwaka 2011.