Home Uncategorized RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21 st CENTURY FOOD AND...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21 st CENTURY FOOD AND PACKAGING LTD JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua
kiwanda hicho jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,
Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa
Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Kiwanda cha 21 st Century Food and
Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21 st Century
Food and Packaging Mohamed Dewji mara baada ya
uzinduzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi wa
Kiwanda cha 21 st Century Food and Packaging Mohamed
Dewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda
hicho jijini Dar es Salaam.