Home Mchanganyiko EfG Yaandaa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu ugawaji wa vitambulisho vya wamachinga...

EfG Yaandaa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu ugawaji wa vitambulisho vya wamachinga jijini Mbeya

0
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG) Jane Magigita,  akizungumza na Watendaji na Wachuuzi wa Jiji la Mbeya katika mkutano wa kukusanya maoni  yatakayosaidia kuandaa mwongozo wa ugawaji wa vitambulisho vya wamachinga jijini humo. Mkutano huo uliandaliwa na shirika hilo.
 Baadhi ya wachuuzi wa jiji la Mbeya wakiwa kwenye mkutano huo.
 Afisa Maendeleo wa Jiji la Mbeya, Vicent Msolwa akitoa mada kwenye mkutano huo.
 Madiwani na Maofisa Watendaji wa Jiji la Mbeya wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.
 Baadhi ya wachuuzi wa jiji la Mbeya wakiwa kwenye mkutano huo.
 Ofisa Tathmini na Ufuatiliaji wa EfG, Samora Julius (katikati) akiwa kwenye mkutano huo.
 Mwezeshaji Dkt.Astronaut Bagile akitoa mada kwenye mkutano huo. 
Diwani wa Kata ya Kalobe, Ester Mjaba akizungumza.