Home Mchanganyiko WAZIRI HASUNGA ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA MKOANI...

WAZIRI HASUNGA ATEMBELEA BANDA LA BOT KATIKA MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA MKOANI SIMIYU

0

Waziri wa Kilimo Mh Japhet Hasunga akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la BoT leo Katika maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu kushoto ni Meneja Mwasiliano ya Umma na Itifaki Bi. Zalia Mbeo.

Waziri wa Kilimo Mh Japhet Hasunga akisalimiana na Meneja Msaidizi Mwasiliano ya Umma na Itifaki Bi. Vick Msina wakati alipotembelea Banda la BoT leo Katika maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu kushoto ni Meneja wa Mwasiliano kwa Umma na Itifaki Bi. Zalia Mbeo.

Waziri wa Kilimo Mh Japhet Hasunga akimsikiliza Vick Msina Meneja Msaidizi Mawasiliano ya umma na Itifaki wakati alipotembelea Banda la BoT leo Katika maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

Waziri wa Kilimo Mh Japhet Hasunga akisindikizwa na Meneja Mawasiliano kwa Umma na Itifaki BoT Bi. Zalia Mbeo na Meneja Msaidizi Mwasiliano kwa Umma na Itifaki BoT Bi. Vick Msina mara baada ya kutembelea Banda la BoT leo Katika maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu