MchanganyikoWAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA ZANZIBAR Last updated: 2019/07/27 at 10:59 AM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba uliotolewa na Jumuiya wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.Naibu Katibu wa Jumuiya ya Wazee(JUWAZA)Kombo Mohamed Khamis akielezea kuhusiana na kupatiwa misaada mbalimbali kwa Wazee na Walemavu katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akipeana mikono na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla ikiwa ni ishara ya kupokea kwa Msaada wa Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuia hio wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimpandisha Mtoto Sulhia Idi Nassor ambae ni Mlemavu katika kigari katika hafla ya makabidhiano ya Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR Alex Sonna July 27, 2019 July 27, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article KAMISHNA WA MAGEREZA, UWESU NGARAMA AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI YA SAJINI WA MAGEREZA, CHUO CHA MAFUNZO YA AWALI CHA MAGEREZA KIWIRA, MBEYA Next Article ULINZI KUIMARISHWA KATIKA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA