Naibu Waziri was Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto waliokaa), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Stella Ikupa (kulia waliokaa), wjatika picha ypamoja na warembo Winfrida Brayson (kushoto) na Grace Mtui (kulia), baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka nchini Urusi waliposhiriki Mashindano ya Kimatifa ya Urembo kwa Viziwi (Miss Deaf International).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (waliokaa kushoto), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Stella Ikupa (waliokaa kushoto), wakiwa na warembo Winfried Brayson (kushoto) na Grace Mtui (kulia) pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Geofrey Mngereza wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwapokea warembo hao walioshiriki Mashindano ya Kimataifa ya Urembo kwa Viziwi yaliyofanyika nchini Urusi.
Mkurugenzi wa Kituo Cha Sanaa na Utamaduni Kwa Viziwi Tanzania (KISUVITA), Habibu Mrope akizungumza na waandishi wa habari baada ya warembo Winfried Brayson na Grace Mtui kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana wakitokea nchini Urusi waliposhiriki Mashindano ya Kimataifa ya Urembo.