Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA ZOEZI LA USAJILI WA NGOs KANDA YA KATI

MATUKIO KATIKA PICHA ZOEZI LA USAJILI WA NGOs KANDA YA KATI

0

Msajili na Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere  Chuo cha Mipango  Dodoma kwa Kanda ya Kati.

Wanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGOs January Kitunsi (kulia) na Denis Bashaka (wa pili kulia) wakifafanua jambo kwa wadau wakati wakitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere Chuo cha Mipango jijini Dodoma kwa Kanda ya Kati.

Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGOs Bi. Happy Msimbe (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere Chuo cha Mipango jijini Dodoma kwa Kanda ya Kati.

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Victor Rugalabamu (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. NyerereChuo cha Mipango jijini Dodoma kwa Kanda ya Kati.