Home Mchanganyiko KITENGO CHA MALALAMIKO WIZARA YA MAMBO NA NDANI

KITENGO CHA MALALAMIKO WIZARA YA MAMBO NA NDANI

0

Ofisa wa Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko
Kivaula Msigwa wa Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani ya
Nchi akitoa maelekezo kwa baadhi ya wawakilishi wa wananchi
54 kutoka Kijiji cha Ihenga, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa
Morogoro baada ya kusikilizwa, kuhudumiwa malaalmiko yao
ya kunyang’anywa mashamba na mwekezaji Kilombero Farm na
kubambikiwa kesi ya kuvamia mashamba na kutishia amani kwa
mwekezaji.

Baadhi ya wawakilishi wa wananchi 54 kutoka Kijiji
cha Ihenga, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro
wakipanda gari chini ya usimaziwa Maofisa kutoka Kitengo cha
Kushughulikia Malalamiko kwenda kwa Kamishna wa Ardhi,
baada ya kutoka katika Kitengo hicho kilichopo Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi ambapo walifikisha malalamiko ya
kunyang’anywa mashamba na mwekezaji Kilombero Farm,
kubambikiwa kesi ya kuvamia mashamba na kutishia amani kwa
mwekezaji.

Baadhi ya wawakilishi wa wananchi 54 kutoka Kijiji
cha Ihenga, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro
wakiwashukuru Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko baada ya kusikiliza
malalamiko yao ya kunyang’anywa mashamba na mwekezaji Kilombero Farm, kubambikiwa kesi ya kuvamia mashamba na kutishia amani kwa mwekezaji.

Maofisa wa Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wawakilishi wa wananchi 54 kutoka Kijiji
cha Ihenga, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro ambao
waliwasilisha malalamiko yao ya kunyang’anywa mashamba na
mwekezaji Kilombero Farm, kubambikiwa kesi ya kuvamia
mashamba na kutishia amani kwa mwekezaji.