Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA BUTIMBA JIJINI...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa,
Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la
Butimba mkoani Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Gereza Kuu la
Butimba mara baada ya kuzungumza na wafungwa Mahabusu, pamoja
na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba mkoani
Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi fedha mmoja wa
Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya Umba kwa ajili ya
kununulia ngombe watatu na magunia ya mchele 15 ili Wafungwa,
Mahubusu na Askari hao wapike na kula pamoja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakati
akitokea Gereza la Butimba.

Sehemu ya Wananchi waliokusanyika katika eneo la
Butimba Kona na Mkuyuni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa
akiwahutubia. PICHA NA IKULU