Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WAPILI WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA UWASILISHAJI...

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WAPILI WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA UWASILISHAJI WA RIPOTI YA UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI WA MWAKA 2016/17 ZANZIBAR

0

Kaimu Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul Rauf Ramadhan Abeid akitoa hotubaya makaribisho katika mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Mgeni Rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mihayo Juma Nhunga akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Ukimwi Zanzibar Dk,Ahmed Mohamed Khatib akitoa maelezo katika ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mihayo Juma Nhunga akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Muasilishaji mada kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Fahima Mohamed Issa akiwasilisha mada kuhusu Utangulizi na Mbinu za Utafiti katika ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Mjumbe kutoka Kitengo Shirikishi Ukimwi,Homa ya Ini,Kifua kikuu na Ukoma Asha Ahmed Othman akiuliza maswali katika ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

Kamishna kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Sheikh Mziwanda Ngwali Ahmed akiuliza maswali katika ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.