Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuonesha ishara ya uzinduzi rasmi wa miradi 7 yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando. Kulia kwake ni Baba Askofu Mhashamu Askofu Renatus Nkwande huku kushoto kwake ni Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu akifuatiwa na Waziri wa Nishati Medard Kalemani na mwisho ni Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Angelina Mabula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Baba Askofu Mhashamu Askofu Renatus Nkwande baada ya kuzindua mradi wa NHIF ikiwa ni moja kati ya miradi 7 iliyozinduliwa yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akieleza jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa miradi 7 yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) wakati wa uzinduzi rasmi wa miradi 7 yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando.
Baadhi ya viongozi wa Serikali wakifuatilia Maelekezo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) wakati wa uzinduzi rasmi wa miradi 7 yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando.
Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wwakati wa uzinduzi wa miradi 7 yenye jumla ya shilingi Bilion 15 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya ziwa Bugando.
………………………
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kufuatilia malipo yote ya Wagonjwa wanoenda kutibiwa nje ya nchi ili kubaini ubadilifu unaofanywa na baadhi ya watu wasiowaaminifu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kufuatilia malipo yote ya Wagonjwa wanoenda kutibiwa nje ya nchi ili kubaini ubadilifu unaofanywa na baadhi ya watu wasiowaaminifu.