Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kesho, Julai 13 anatarajia kufanya ziara binafsi nchini Tanzania.
Ziara wilayani Chato ambapo , Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Kijijini kwake Mlimani, wilayani Chato, mkoani Geita.
Akiwa kijijini hapo, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli. Ikumbukwe hivi karibuni Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alimtembelea Rais Magufuli nyumbani kwake, ambapo alifanya mazungumzo naye binafsi
Serikali wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, imemuokoa mtoto mwenye umri wa miaka 10, jina limehifadhiwa, aliyekuwa ameachishwa shule na familia yake na kupelekwa kwa mwanaume…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Waandishi wa Habari Agosti 13, 2026 jijini Dodoma kuhusu ufadhili wa masomo…