Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba
akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari
wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akieleza
umuhimu wa waandishi wa habari kufuatilia na kutangaza manufaa ya mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za nchi wanachama wa SADC leo Julai 11, 2019 mjini Morogoro.
Katibu Mkuu mstaafu Balozi Hebert Mrango akiwasilisha mada kuhusu historia ya
SADC, masuala ya siasa, uchumi na kijami wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la
waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari
wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.
Katibu Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mussa Uledi akiwasilisha mada
wakati wa awamu ya pili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 11, 2019 ikiwa ni siku ya kwanza ya mafunzo hayo.