MchanganyikoUjenzi wa Barabara za Geita-Kagera Last updated: 2019/07/10 at 3:48 AM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Mhandisi mshauri Thomas Kidane toka kampuni ya SMEC ya Australia akifafanua jambo kwa wahandisi Peter Sikalumba (kushoto), Joyce Mbunju, na Rubara Marandu (kulia) toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), walipokagua ujenzi wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami.Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka – Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga.Muonekano wa barabara ya Bwanga- Biharamulo (km 68), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Kagera na Geita.Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka- Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga. Alex Sonna July 10, 2019 July 10, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article NAIBU WAZIRI DKT.NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM Next Article BASI LINGINE LA LAKAMATWA LIKIWA NA ABIRIA ZAIDI YA 90