Mwenyekiti wa umoja wa wanawake manispaa ya Iringa (UWT) Ashura Jongo akizungumza wakati wa baraza la UWT manispaa ya Iringa akiwaasa wanawake kukopa kwa malengo
Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya akitoa neno kwa wanawake wa UWT manispaa ya Iringa.
NA
FREDY MGUNDA,IRINGA.
FREDY MGUNDA,IRINGA.
Mwenyekiti wa umoja wa wanawake manispaa ya Iringa (UWT) Ashura Jongo akizungumza wakati wa baraza la UWT manispaa ya Iringa akiwaasa wanawake kukopa kwa malengo Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya akitoa neno kwa wanawake wa UWT manispaa ya Iringa. NA
FREDY MGUNDA,IRINGA. Kukosekana
kwa elimu ya matumizi bora ya mikopo kwa wanawake kumetajwa kuwa sababu ya
wanawake wengi wa manispaa ya Iringa kushindwa kurudisha mikopo katika taasisi
za kifedha.Akizungumza
kwenye baraza la UWT manispaa ya Iringa,mwenyekiti wa umoja huo Ashura Jongo amesema kuwa wananwake wamekuwa wanakopa bila
ya kuwa na elimu ndio maana wanashindwa kurejesha mikopo ambayo wamekopa kwenye
taasisi za kifedha.“Changamoto
za wanawake kutokuaminika katika vyombo au taasisi za kifedha ni kutokana na
hali ngumu,wanawake wanaweza wakakopa wakiwa na malengo lakini wakirudi
nyumbani wanakutana na matatizo mengi yanahitaji matumizi ya fedha” aliema JongoJongo
alisema kuwa wanawake wanatakiwa kuendelea kuwawezesha kwa kuwa wanauwezo wa
kutmia vizuri fedha ambazo zinapatikana hivyo ukimuwezesha mwanamke
umewawezesha watu wengi kwa kuwa wanawake ndio nguzo ya familia hasa kwenye
maswala ya kiuchumi.Kwa
upande wake mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi Rose
Tweve amezitaka taasisi za kifedha kutoa elimu kwa wakopaji ili waweze
kuzitumia vizuri fedha hizo.“Shida
moja wapo ya wanawake kushindwa kurudisha mikopo ni kutokana na kutokuwa
naelimu ya matumizi ya fedha kwa kuwa pesa hiyo inahitaji nidhamu na matumizi
bora ya fedha hizo za mikopo” alisema TweveTweve
alisema kuwa tasisi za kifedha zinatakiwa kutoa elimu kwanza kabla ya kutoa
mikopo kwa wanawake ili waweze kuzirejesha kwa wakati kwa kuwa tayari
ameshapata elimu ya matuzi bora ya mikopo waliyokopa.“Pale
wanapokopa lazima wajue matumizi ya hizo pesa la sivyo watazitumia bila nidhamu
fedha hizo na kushindwa kuzirejesha na kujikuta wakiwa matatani kutokana na
kushindwa kulipa mkopo huo” alisema TweveNaye
mgeni rasmi kwenye baraza hilo mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya
amewataka wanawake kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha ili kufikia malengo
waliyojiwekea kabla ya kwenda kukopa.“Kwa
kwali wanawake wa CCM manispaa ya Iringa wengi mnakopa mikopo lakini hamrejeshi
kwa wakati na hili ni bomu kubwa kwa chama hivyo mnatakiwa kuwa na nidhamu ya
matumizi ya mikopo hiyo” alisema Rubeya
Kukosekana
kwa elimu ya matumizi bora ya mikopo kwa wanawake kumetajwa kuwa sababu ya
wanawake wengi wa manispaa ya Iringa kushindwa kurudisha mikopo katika taasisi
za kifedha.

Akizungumza
kwenye baraza la UWT manispaa ya Iringa,mwenyekiti wa umoja huo Ashura Jongo amesema kuwa wananwake wamekuwa wanakopa bila
ya kuwa na elimu ndio maana wanashindwa kurejesha mikopo ambayo wamekopa kwenye
taasisi za kifedha.

“Changamoto
za wanawake kutokuaminika katika vyombo au taasisi za kifedha ni kutokana na
hali ngumu,wanawake wanaweza wakakopa wakiwa na malengo lakini wakirudi
nyumbani wanakutana na matatizo mengi yanahitaji matumizi ya fedha” aliema Jongo

Jongo
alisema kuwa wanawake wanatakiwa kuendelea kuwawezesha kwa kuwa wanauwezo wa
kutmia vizuri fedha ambazo zinapatikana hivyo ukimuwezesha mwanamke
umewawezesha watu wengi kwa kuwa wanawake ndio nguzo ya familia hasa kwenye
maswala ya kiuchumi.

Kwa
upande wake mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi Rose
Tweve amezitaka taasisi za kifedha kutoa elimu kwa wakopaji ili waweze
kuzitumia vizuri fedha hizo.

“Shida
moja wapo ya wanawake kushindwa kurudisha mikopo ni kutokana na kutokuwa
naelimu ya matumizi ya fedha kwa kuwa pesa hiyo inahitaji nidhamu na matumizi
bora ya fedha hizo za mikopo” alisema Tweve

Tweve
alisema kuwa tasisi za kifedha zinatakiwa kutoa elimu kwanza kabla ya kutoa
mikopo kwa wanawake ili waweze kuzirejesha kwa wakati kwa kuwa tayari
ameshapata elimu ya matuzi bora ya mikopo waliyokopa.

“Pale
wanapokopa lazima wajue matumizi ya hizo pesa la sivyo watazitumia bila nidhamu
fedha hizo na kushindwa kuzirejesha na kujikuta wakiwa matatani kutokana na
kushindwa kulipa mkopo huo” alisema Tweve

Naye
mgeni rasmi kwenye baraza hilo mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya
amewataka wanawake kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha ili kufikia malengo
waliyojiwekea kabla ya kwenda kukopa.

“Kwa