Home Michezo SIMBA YAMTAMBULISHA GARDIEL MBAGA KUTOKA YANGA

SIMBA YAMTAMBULISHA GARDIEL MBAGA KUTOKA YANGA

0

Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Crescentius John Magori akimtambulisha mchezaji mpya, beki Gardiel Michael Mbaga kutoka kwa mahasimu, Yanga SC

……………….

GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.

Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.

Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.