MGENI rasmi, Ofisa Habari na Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kupokea msaada wa Madawati 50 yenye thamani ya Sh. milioni 5 kutoka kwa Meneja wa Tawi la Gongolamboto, Rehema Mwibura (kushoto) na Meneja Mahusiano Biashara za Serikali wa NMB, Faraja Kaziulaya (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano ya madawati hayo kwa ajili ya Shule ya Msingi Yangeyange iliyopo Msongola Manispaa ya Ilala, jana.
……………………
SERIKALI Imeishukuru Benki ya NMB kuendelea kusaidia katika Sekta ya Elimu kwa kuchangia madawati baadhi ya Shule zilizo na upungufu na uhitaji mkubwa wa madawati ili wanafunzi waweze kufanya vizuri katika masomo yao.