Refa akiwaonyesha kadi nyekundu mshambuliaji Lionel Messi wa Argentina na beki Gary Medel wa Chile (jezi nyekundu) dakika ya 37 baada ya wawili hao kugombana usiku wa Jumamosi katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya Copa America. Argentina ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sergio Aguero dakika ya 12 na Paulo Dybala dakika ya 22, wakati la Chile lilifungwa na Arturo Vidal kwa penalti dakika ya 59 PICHA ZAIDI SOMA HAPA