Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry (Kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya mbolea ya Taifa (TFC) Ndg Salum Mkumba mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kazi uliofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam, leo tarehe 5 Julai 2019. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kazi uliofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam, leo tarehe 5 Julai 2019. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya mbolea ya Taifa (TFC) Ndg Salum Mkumba na Steven Kihwele ambaye ni mchumi Wizara ya Kilimo.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo – Dar es salaam

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet
Hasunga (Mb) leo tarehe 5 Julai 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry katika
kikao kazi kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam.

Katika mkutano huo Mhandisi
Raouf amemueleza Mhe Hasunga kuwa lengo la ziara yake ni kuangalia uwezekano wa
kutumia fursa inayopatikana na kutolewa na Benki ya EXIM inayotoa mikopo nafuu
ili kufanya biashara kati ya nchi za Afrika.

Amesema kuwa akipatiwa mkopo
huo ataongeza uwezekano wa kusambaza mbolea na viuatilifu ili kuongeza tija na
kasi ya uzalishaji wa mazao mbalimbali ya wakulima.

Kwa uoande wake Waziri wa
Kilimo Mhe Japhet Hasunga amemueleza Mhandisi Raouf kuwa serikali ya awamu ya
tano inayoongozwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli imedhamiria kutekeleza kwa vitendo hivyo ina wakaribisha wawekezaji
katika uwekezaji mbalimbali ikiwemo sekta ya viwanda vya kusindika mazao.

Alisema kuwa Mhe Magufuli
amejipambanua katika kuimarisha uwezekano wa wawekezaji kuwa na uwekezaji
uliotukuka ili kuwanufaisha watanzania sambamba na manufaa kwao wenyewe.

Katika mkutano huo baina ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TOPIC ya Mjini Cairo nchini Misri Mhandisi Raouf Bakry ulihudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya mbolea ya Taifa (TFC) Ndg Salum Mkumba.