Reading:NCHI 13 ZILIZOENDELEA KUTOKA AFRIKA NA ASIA ZAMALIZA MAFUNZO YA SIKU SABA JUU YA HAKI ZA MILIKI BUNIFU NA USHAURI KWENYE UCHUMI WA UTANDAWAZI JIJINI DAR ES SALAAM
NCHI 13 ZILIZOENDELEA KUTOKA AFRIKA NA ASIA ZAMALIZA MAFUNZO YA SIKU SABA JUU YA HAKI ZA MILIKI BUNIFU NA USHAURI KWENYE UCHUMI WA UTANDAWAZI JIJINI DAR ES SALAAM
Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa shirika linaloshughulikia masuala ya Miliki bunifu Duniani (World Intellectual Property Organisation-WIPO) Bw. Kifle Shenkoru akitoa neno la shukurani
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Emmanuel Kakwezi akitoa neno la shukurani kwa washiliki wa mafunzo ya masuala ya miliki bunifu kutoka nchi kumi na tatu (13)
Afisa Mtendaji Mkuu wa chama cha Hakimiliki Tanzania Bi. Doreen A. Sinare akitoa neno la shukurani kwa washiliki wa mafunzo ya masuala ya miliki bunifu kutoka nchi kumi na tatu (13)
Mshiriki na mjumbe kutoka Uganda,Bwana Emmanuel Mutungi akitoa neno la shukurani kwa niaba ya washiriki kutoka nchi kumi na tatu (13)
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi Kutoka Malawi Tikhale Magombo Chikanda akitoa neno la shukurani.
Washiriki wa mafunzo Washiriki kutoka nchi kumi na tatu (13) wa mafunzo ya juu ya haki za miliki Bunifu na ushauri wakifuatilia hitimisho la mafunzo yaliyochukua siku saba.
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Kamati ya maandalizi ya mafunzo ya siku saba ya nchi kumi na tatu (13) zinazoendelea kutoka Afrika na Asia iliyofanyika Juni 30,2019 hadi Julai 5, 2019 kwenye ukumbi wa Zanzibar ndani ya Hotel ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Washiriki kutoka nchi kumi na tatu (13) wa mafunzo ya juu ya haki za miliki Bunifu na ushauri Kwenye uchumi wa utandawazi wakiwa wamemaliza mafunzo hayo ambayo yamechukua siku saba katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.