Kaimu mtendaji mkuu wa BRELA akipokelewa na Mkuu wa chuo cha Sanaa (TASUBA) Alipotembelea kuongoza ujumbe wa washiriki kutoka nchi mbalimbali waliofadhiliwa na shirika la miliki bunifu Duniani (WIPO) pamoja na shirika la maendeleo nchini Sweden (SIDA)
Mkufunzi wa chuo cha Sanaa TASUBA Christa Komba, Kheli Kaale akitoa maelezo kwa washiriki kuhusu studio ya muziki
Washiriki wa WIPO na SIDA wakijionea bidhaa mbalimbali za uchongaji wa vitu mbalimbali vya asili katika chuo cha Sanaa kilichopo Bagamoyo (TASUBA)
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) akiwaongoza wageni wake kutoka nchi mbalimbali kutembelea Sanaa na Makumbusho mbalimbali Bagamoyo leo
Kaimu mtendaji mkuu wa BRELA akipokelewa na Mkuu wa chuo cha Sanaa (TASUBA) Alipotembelea kuongoza ujumbe wa washiriki kutoka nchi mbalimbali waliofadhiliwa na shirika la miliki bunifu Duniani (WIPO) pamoja na shirika la maendeleo nchini Sweden (SIDA)Mkufunzi wa chuo cha Sanaa TASUBA Christa Komba, Kheli Kaale akitoa maelezo kwa washiriki kuhusu studio ya muzikiWashiriki wa WIPO na SIDA wakijionea bidhaa mbalimbali za uchongaji wa vitu mbalimbali vya asili katika chuo cha Sanaa kilichopo Bagamoyo (TASUBA)Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) akiwaongoza wageni wake kutoka nchi mbalimbali kutembelea Sanaa na Makumbusho mbalimbali Bagamoyo leoMwakilishi Mkurugenzi wa (WiPO) Bw.Kiflie Senkurou aliyesimama (katikati) katika matembezi ya kujionea makumbusho ya Bagamoyo leoMkuu wa chuo cha sanaa TASUBA Dr. Herbert Makoye, Kaimu Afisa mtendaji Mkuu BRELA Emmanuel Kakwezi,Afisa Mtendaji Mkuu wa chama cha haki miliki Tanzania COSOTA Bi.Doreen Sinare na Mkurugenzi wa Miliki bunifu BRELA Bi.Loy mhando wakifurahia jambo katika matembezi ya makumbusho BagamoyoPicha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo walipotembelea chuo cha Sanaa TASUBA) KUONA SANAA na tamaduni.……………………..Washiriki wa mafunzo kutoka nchi za LCD’s wakiwa katika matembezi ya vivutio vya kihistoria katika chuo Sanaa Bagamoyo (TASUBA).Mafunzo haya yamefadhiliwa na (WIPO) Shirika la miliki bunifu Duniani na Shirika la Maendeleo la nchini Sweden (SIDA) wenyeji wa mafunzo hayo ni Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA