Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED...

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR

0

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Yakut Hassan Yakut akitoa maelezo mafupi ya makaribisho katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Baadi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dk,Mary Mwanjelwa akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimkabidhi Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee Cheti maalum katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Cheti maalum na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil kikwajuni Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.