Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo (SMT) Mhandisi Mathew Mtigumwe na Naibu Katibu Mkuu (SMZ) Bi Mansura Mosi Kassim wakiongoza kikao cha mashirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika sekta ya Kilimo.

Na
Mathias Canal, Wizara ya Kilimo
Mathias Canal, Wizara ya Kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Kilimo (SMT) Mhandisi Mathew Mtigumwe na Naibu Katibu Mkuu (SMZ) Bi Mansura
Mosi Kassim wameongoza kikao cha mashirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika sekta ya Kilimo.

Kikao hicho kimefanyika ikiwa
ni utekelezaji wa maagizo ya ofisi ya Makamu wa Rais Muungano kwa wizara zote
za SMT na SMZ kukutana na kuzungumzia Mashirikiano baina yao.

Vikao kama hivyo hutuama
kujadili kwa pamoja namna ya kutatua changamoto za Muungano zilizopo katika
sekta ya Kilimo.

Katika kikao hicho
kumejadiliwa kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali yaliyowekwa katika kikao
cha makatibu wakuu wa sekta ya Kilimo kilichofanyika mwezi Machi, 2018.

Kadhalika, maeneo mengine ya
mashirikiano yaliyojadiliwa ni pamoja na Maendeleo ya mazao, utafiti na
mafunzo, huduma za umwagiliaji na Zana za Kilimo na Sera, na Mipango na
uimarishaji wa takwimu.

Kikao kazi hicho kilifanyika tarehe
24 Juni, 2019 katika ofisi za wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi
Zanzibar.