Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA VIFAA VIPYA VYA UJENZI WA BARABARA...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA VIFAA VIPYA VYA UJENZI WA BARABARA VYA UUB ZANZIBAR. KIBELE WILAYA YA KATI UNGUJA

0

IS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya moja ya kifaa cha ujenzi wa barabara cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa barabara alipotelmbelea Kituo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia vifaa hivyo vipya vilivoagiziwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kulia Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dr.Sira Ubwa Mwamboya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Vifaa vipya vya Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) katika Kituo cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibare Mhe. Dr. Sira Ubwa Mwamboya na Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Mohammed Ahmed Salum.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya Mtambo Mpya wa kupikia lami kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, akitembelea Vifaa vipya vya Idara hiyo katika Kituo chao Kibele Wilaya ya Kati Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamerd Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa ziara yake kutembelea Kituo cha Idara ya UUB Kibele Wilaya ya Kati Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwamboya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, alipofanya ziara kutembelea Kituo cha UUB Kibele kuangalia vifaa vipya vya Idara hiyo, kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Dr. Sira Ubwa na Naibu Waziri Mhe Mohammed Ahmed Salum.

WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr,. Sira Ubwa akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea Vifaa Vipya vya Kisasa vya Idara ya UUB Zanzibar,katika Kituo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

(Picha na Ikulu)