Home Michezo LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4

LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4

0

Beki kinda wa umri wa miaka 17, Sepp van der Berg akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka PEC Zwolle akisaini mkataba wa muda mrefu kwa dau la Pauni Milioni 4.4 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA