MWAKILISHI wa Familia ya Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurhan akitowa shukrani kwa Wananchi na Viongozi wa Serikali kujumuika katika msiba wa ndugu yao Dr. Badria Abubakar Gurnah, baada ya kumalizika kwa kisoma cha hitma kilichofanyika katika Masjid Mahamur Upanga jijini Dar es Salaam.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa mkono wa Pole kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodo alipofika nyumbani kwao Mtaa wa Msasani Jijini Dar es Salaam kutowa Mkono kwa familia ya Dr. Badria. Abubakar Gurnah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwafariji Watoto wa Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah, alipofika nyumbani kwao kutowa mkono wa pole na kuwafariji kwa msiba huo, katikati Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibae Dr. Abdalla Juma Mabodi mume wa Marehemu Dr.Badria Abubakar Gurnah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini kitabu cha maombolezi cha Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah, alipofika nyumbani kwao Msasani Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, akisaini kitabu cha maombolezi alipofika nyumbani kwa marehemu Dr. Badria Abubakari Gurnah, Msasani Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimfariji Mtoto wa Marehemu Zaina Abdalla Juma Mabodi, alipofika nyumbani kwao Msasani Jijini Dar es Salaam, kutoa mkono wa pole, kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Mabodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Mabodi, wakiitikia dua kumuombea Marehemu Dr.Badria Abubakar Gurnah, alipofika nyumbani kwao Msasani kutowa mkono wa pole.
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi wakishiriki katika hitama na dua ya kumuombea Marehemu Dr.Badria Abdubakar Gurnah, iliofanyika nyumbani kwao Msasani Jijini Dar es Salaam
BAADHI ya Wananchi wakishiriki katika kisomo cha Hitma ya Marehemu Dr, Badria Abubakar Gurnah, iliofanyika nyumbani kwao Msasani Jijini Dar es Salaam.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijum uika na Wananchi Jijini Dar es Salaam, katika hitma na dua kumuombea marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah, iliofanyika nyumbani kwao Msasani Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga fatha kabla ya kuaza kwa kisoma cha dua na hitma ya kumuombea marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah, iliofanyika katika Masjid Mahamur Upanga Jijini Dar es Salaam, kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar mume wa marehemu Dr, Abdalla Juma Mabodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika kisoma cha Hitma na dua kumuombea Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah, kushoto Imamu wa Masjid Mahamur Upanga Sheikh Ayoub Ali Seif na Sheikh Zeni Shariff na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ramadhani Abdalla
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na kushoto Imamu wa Masjid Mahamur Upanga wakiitikia dua wakati wa kuhitimisha Hitma ya marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah ikihitimishwa na Sheikh Zeni Shariff.(Picha na Ikulu)