Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma
Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa
Afya,Maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Dokta Faustine
Ndugulie wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum Fatma Tafiq aliyehoji,ndoa za utotoni ni tatizo kubwa katika jamii zetu hususan katika jamii zenye umasikini ,je ,serikali haioni kuwa kuna umuhimu wa kutoa elimu kwa umma hasa katika maeneo ya vijijini ili wananchi wafahamu athari za kuozesha watoto katika umri mdogo.
Katika majibu yake,Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii
,Jinsia,Wazee na watoto Dokta Ndugulile amesema serikali ina tambua umuhimu wa elimu kwa umma katika kupambana na ndoa za utotoni ambazo zina madhara makubwa kwa watoto wa kike .
Hivyo amesema kupitia mbalimbali za mawasiliano ikiwemo
TV,Radio,Magazeti na Majarida serikali imekuwa ikitoa elimu kwa
kuandaa jumbe mbalimbali kuhusu madhara ya mimba za utotoni sambamba na kusisitiza wazazi na walezi na jamii kwa ujumla kutoozesha watoto Mapema.
Aidha,Dokta Ndugulile ,amesema, Kwa kipindi cha Januari hadi Disemba mwaka ,2018,Jumla ya Wananchi 13,234 wamefikiwa na Elimu ya Madhara ya Mimba za utotoni .
Kati ya hao,wanafunzi 8,546,walimu 476,viongozi wa dini 110,wazee wa mila na watu Mashuhuri 90,ngariba 38,waendesha bodaboda 261,wazazi/walezi 3600 na watendaji wa vijiji 113.
Kampeni ya kutokomeza mimba za utotoni ijulikanayo’mimi Msichana
Najitambua ilizinduliwa mkoani Mara mwaka 2017 ambayo tayari
imefanyika katika mikoa ya Shinyanga,Mara,Tabora,Lindi,Dodoma,Tanga,Dar es Salaam na Katavi.
Mikoa 6 yenye kiwango kikubwa cha mimba za utotoni hapa nchini
Tanzania ni Shinyanga,Dodoma,Tabora,Mara,Katavi na Singida na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 27% ya mabinti walio chini ya miaka 18 wana wana mimba au wamezaa.