Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph
Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa akiwa pamoja na mwenyekiti wa umoja wa vijana manispaa ya Iringa Salvatory Ngerea,diwani wa kata ya Mwangata Nguvu Chengula pamoja na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mkimbizi A wakiwa kwenye picha ya pamoja

Naibu
Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph
Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa akiwa pamoja na mwenyekiti wa
umoja wa vijana manispaa ya Iringa Salvatory Ngerea,diwani wa kata ya
Mwangata Nguvu Chengula pamoja na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mkimbizi
A wakiwa kwenye picha ya pamoja

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
WANANCHI
wa kata ya Mkombizi Manispaa ya Iringa wamekishukuru chama cha Mapinduzi ccm
kupitia umoja wa madiwani wa chama hicho kwa kutatua kero yao ya ubovu wa
miundombinu ya barabara iliyodumu kwa muda wa miaka saba.

Ni
siku moja tu juni imepita toka wananchi wa kata ya
Mkimbizi Manispaa iliyopo chini ya upinzani wa chama cha demokrasia na
Maendeleo chadema kutoa kero yao ya ubovu wa miundombinu ya barabara
katika mkutano wa hadhara wa madiwani wa ccm wa Manispaa ya Iringa,uliofanyika
juni 23 katika kata hiyo kuwaomba watengenezewe miundombinu barabara hiyo
ambayo imenakwamisha shughuli za kiuchumi kutoka na ubovu wake.

Akizungumza
wakati wa ukarabati wa barabara hizo Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph
Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa ccm alisema kuwa lengo lao ni kutaka
kuhakikisha barabara zote korofi zinakarabatiwa kupitia umoja wao kwa
kushirikiana na wadau wa maendeleo.

“Madiwani
wa chama cha Mapinduzi ccm katika Manispaa ya Iringa tumeamua kwa umoja wetu
katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa kuangalia kero zilizopo katika
kata zote 18 bila kujali iko ipinzania ua chama tawala’’Alisema

Alisema
kuwa lengo lao ni kuhakikisha kero ndogondogo za wananchi
katika kata za madiwani wa ccm ndani ya Manispaa zinatanawatumikia
wananchi wananchi wanatatuliwa kero zao.

Mpaka
sasa jumla ya kata 5 tumeshakarabati miundombunu ya barabara ambazo
ni kata ya Mwangata,Kihesa,Mtwivila, ,Kwakilosa ,Ipogolo na leo tupo kata ya
Mkimbizi,tunataka maeneo ambayo ni korofi yanafanyiwa matengenezo;

Huu
mpango ni endelefu,tutaendelea katika kata zote tukiwa na lengo kubwa la
kuhakikisha kata ambazo zina changamoto ya miundombinu na kero zingine
zinatuliwa kwa wakati katika kelekea uchaguzi wa serikali za mitaa’’Alisema

Diwani wa
kata ya Mwangata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Nguvu Chengula alisema
kuwa umoja wa madiwani wa ccm wameamua kupita kila kata ya diwani
anaetokana na chama hicho kuangalia kero na changamoto ambazo hazijatatuliwa
wanashirikiana kwa pamoja na kutatua.

Chengula
alisema kuwa umoja wa madiwani wa ccm kwa kushirikiana na wadau wa
maendeleo ndani ya manispaa ya Iringa tutahakikisha tunawafikia wananchi
kila kata na kusikiliza kero zao na kuzipatia ufumbuzi ili uchaguzi wa serikali
za mitaa unaotarajia kufanyika nchini mwaka huu ccm iweze kushinda kwa
kishindo.

‘’Mikakati
tuliyojiwekea sisi kama Madiwani tunaotokana na chama cha mapinduzi
ccm ni kuhakikisha mapaka kufikia August 30 barabara zote korofi
zilizopo katika kata na mitaa ya manispaa ya Iringa zinakarabatiwa ili wananchi
waweze kufanya shughuli zao bila kikwazo’’Alisema

Nae mkuu
wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwapongeza madiwani hao kwa kuisaidia
serikali katika kutatua kero za wananchi kwa vitendo,huku akiwataka wananchi
kutoa ushirikiano wa madiwani hao ili kero zinazowakabili ziweze kutatuliwa.

”Tumemuomba
mh.Rais atusaidie fedha kwa ajili ya kuweka rama katika barabara za manispaa ya
Iringa zenye urefu wa kilomita 21,tunaamini mh.Rais atatusaidia,hivyo
ninawaomba wadau wa maendeleo kujitoa waunge mkono juhudi hizi zinazofanywa na
madiwani katika kuleta maendeleo ya manispaa ya Iringa”Alisema

Kwa upande
wake mwenyekiti wa mtaa wa Mkimbizi A,Agata Kasisi alisema kuwa
barabara hizo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wananchi hasa
wafanyabiashara,bodaboda pamoja na wanafunzi ambao wamekuwa wakishindwa kwenda
shule kutokana na miundombinu kutokana rafiki.

‘’Tunae
diwani wa chadema aliyechaguliwa na wananchi,lakini ameshindwa kutatua
changamoto mbalimbali zinazotukabili katika kata yetu ikiwemo changamoto ya miundombinu.Tunawashukuru
madiwani wa ccm pamoja na chama cha mapinduzi klwa ujumla kwa kututatulia kero
hii na tunahidi kosa ambalo tulilifanya katika uchaguzi mkuu 2025
hatutalirudia katika serikali za mitaa na uchaguzi mkuu
2020’’Alisema