Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Edith Simtengu (mwenye kofia) akiongoza watumishi wa Wizara hiyo kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Na Victor Masangu, Kibaha Baadhi ya wanawake wa (UWT) Kata ya Pangani iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wamempongeza kwa dhati Mwenyekiti wa…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, akiwa na maofisa, wakaguzi na askari, aliwaongoza askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe katika kusherehekea miaka…