Meneja wa sehemu ya upimaji ndugu Jared Mushi toka Makao Makuu ya Wakala wa Vipimo akionesha kwa vitendo namna ya kupima kwa usahihi robota la Pamba Pamba kwenye mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo (WMA)
Wakulima wa Pamba wakioneshwa namna ya kutambua mizani iliyo sahihi na ile isiyo sahihi ili waweze kujilinda wenyewe na baadhi ya wafanyakazi wadanganyifu
Wakulima wa Pamba mkoani Mara wakileta Pamba yao kwenye chama cha msingi Chenye mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo tayar kwa kuuza.
Wakulima wa Pamba Mkoani Mara wakipakia tayari kwa kupeleka kwenda kuuza pamba yao.
Wakulima wa Pamba mkoani Simiyu wakiendelea kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mizani kwenye chama chao cha msingi walipoleta kuuza pamba yao.
Wakulima wa Pamba mkoani Shinyanga wakipewa elimu matumizi sahihi ya mizani na kuoneshwa alama za kutambua mizani sahihi ikiwa ni pamoja na seal , ngao ya bibi na bwana pamoja na stika.
………………
Zoezi hili la ukaguzi wa mizani na utoaji elimu linaendeshwa na Wakala wa Vipimo katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita, Kagera, Tabora na Katavi kwa kuratibiwa na WMA Makao Makuu.
WMA wameweza kufika katika maeneo mbalimbali yaliyopo kanda ya ziwa kwa kutoa zaidi elimu kwa wakulima wa pamba ili kuwepo na matumizi sahihi ya mizani katika ununuzi wa pamba.
WMA wamekuwa wakiwambia wakulima kuwa wanatakiwa kuwa karibu pamoja na kuwapa ushirikiano wa kutosha Maafisa vipimo kwa kuwasaidia kuwapa taarifa zote watakazokuwa wanazihitaji ili waweze kufaidika na mauzo ya pamba yao kwa kutumia mizani sahihi iiliyohakikiwa na wakala wa vipimo.
Meneja wa sehemu ya upimaji ndugu Jared Mushi toka Makao Makuu ya Wakala wa Vipimo akionesha kwa vitendo namna ya kupima kwa usahihi robota la Pamba Pamba kwenye mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo (WMA)Wakulima wa Pamba wakioneshwa namna ya kutambua mizani iliyo sahihi na ile isiyo sahihi ili waweze kujilinda wenyewe na baadhi ya wafanyakazi wadanganyifuWakulima wa Pamba mkoani Mara wakileta Pamba yao kwenye chama cha msingi Chenye mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo tayar kwa kuuza.Wakulima wa Pamba Mkoani Mara wakipakia tayari kwa kupeleka kwenda kuuza pamba yao.Wakulima wa Pamba mkoani Simiyu wakiendelea kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mizani kwenye chama chao cha msingi walipoleta kuuza pamba yao.Wakulima wa Pamba mkoani Shinyanga wakipewa elimu matumizi sahihi ya mizani na kuoneshwa alama za kutambua mizani sahihi ikiwa ni pamoja na seal , ngao ya bibi na bwana pamoja na stika.………………Zoezi hili la ukaguzi wa mizani na utoaji elimu linaendeshwa na Wakala wa Vipimo katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita, Kagera, Tabora na Katavi kwa kuratibiwa na WMA Makao Makuu.WMA wameweza kufika katika maeneo mbalimbali yaliyopo kanda ya ziwa kwa kutoa zaidi elimu kwa wakulima wa pamba ili kuwepo na matumizi sahihi ya mizani katika ununuzi wa pamba.WMA wamekuwa wakiwambia wakulima kuwa wanatakiwa kuwa karibu pamoja na kuwapa ushirikiano wa kutosha Maafisa vipimo kwa kuwasaidia kuwapa taarifa zote watakazokuwa wanazihitaji ili waweze kufaidika na mauzo ya pamba yao kwa kutumia mizani sahihi iiliyohakikiwa na wakala wa vipimo.