MchanganyikoNBS Yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kuwajengea Uelewa Wanafunzi Dodoma Sekondari Last updated: 2019/06/19 at 8:02 PM Alex Sonna 6 years ago Share SHARE Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Stambuli Mapunda akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bibi. Mariam Katemba akiwasilisha mada kuhusu matokeo ya hali ya maambukizi ya Ukimwi kwa vijana mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Seif Kuchengo akiwasilisha mada kuhusu Sensa mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.Mwanafunzi wa Kidato cha Nne, Shule ya Sekondari Dodoma, Bi. Najma Mussa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.Mwanafunzi wa Kidato cha Nne, Shule ya Sekondari Dodoma, Hassan Hamis Hassan akiuliza swali wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakiangalia vitabu walipotembelea Maktaba ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na NBS ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija) Alex Sonna June 19, 2019 June 19, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article Pwani, Simiyu na Singida Zaongoza kuzoa Medali Nyingi UMISSETA 2019 Next Article PAMBA ZA KUTOA UCHAFU MASIKIONI ZATAJWA KUSABABISHA MATATIZO YA USIKIVU