MchanganyikoKwandikwa Awataka Watanzania Kuzingatia Alama za Usalama Barabarani Last updated: 2019/06/18 at 3:06 PM joseph 6 years ago Share SHARE : Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akielekea Wodini kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akisikiliza maelezo toka kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi (katikati) alipotembelea Hospiltali hiyo kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 34. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiagana na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzimara baada ya kuwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Miundombinu ya Uchukuzi, Mhandisi. Thomas NgulikaAjali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO) joseph June 18, 2019 June 18, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article IGP SIRRO AMETETA NA MAOFISA NA WAKAGUZI WA POLISI KATIKA VIWANJA VYA BWALO LA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY. Next Article NAIBU KATIBU MKUU AELEKEZA MIRADI YA MAJI NJOMBE KUTUMIA PAMPU ZILIZOBUNIWA NA WAZAWA