Home Michezo Hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, yafanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar...

Hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, yafanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga na Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume, katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. Katikati ni Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dkt. Harison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akizungumza na Wanachama na wapenzi wa Yanga katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wanachama na wapenzi wa Yanga katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikabidhi mchango wa shilingi milioni 10, kwa Mwenyekiti wa Yanga, Dkt. Msolla katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea jezi ya Yanga, kutoka kwa Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwiguru Nchemba, katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).