


Mtaalam wa Tiba Radiolojia (Interventional Radiology) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Erick Mbuguje (mwenye kofia ya bluu) na wenzake wa MNH wakifuatilia jinsi mtaalam wa Tiba Radiolojia kutoka Marekani, Dkt. Michelle Maneevese anavyomwekea mgonjwa wa figo mpira maalum kwenye mshipa mkubwa wa damu (permanent catheter insertions) ambao unamsaidia mgonjwa kusafisha damu (renal dialysis).
