Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Geita Bw. Aruni Arikana akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya watoto Taifa na Mkoa wa Geita wakati wa mafunzo ya Kitini cha mafunzo kwa wawezeshaji wa Mabaraza ya watoto Tanzania yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.
Mkurugenzi Msaidizi maendeleo ya Watoto kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Bw. Sebastian Kitiku akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya watoto Taifa na Mkoa wa Geita wakati wa mafunzo ya Kitini cha mafunzo kwa wawezeshaji wa Mabaraza ya watoto Tanzania yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.
Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Bw. Christopher Mushi akielezea malengo ya ktini cha Mafunzo kwa wawezeshaji Mabaraza ya Watoto Tanzania kwa wajumbe wa Mabaraza ya watoto Taifa na Mkoa wa Geita wakati wa mafunzo ya Kitini hicho yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.
Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bi. Neema Bwaira akielezea umuhimu kitini cha Mafunzo kwa wawezeshaji Mabaraza ya Watoto Tanzania kwa wajumbe wa Mabaraza ya watoto Taifa na Mkoa wa Geita wakati wa mafunzo ya Kitini hicho yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.
Mwenyekiti wa baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Joel Festo akiwa pamoja na watoto wenzake wakisoma na kujadiliana kuhusu Kitini cha mafunzo kwa wawezeshaji wa Mabaraza ya watoto Tanzania wakati wa Mafunzo ya kitini hicho yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wawakilishi wa Watoto mkoa wa Geita na wadau wa masuala ya watoto wakijadiliana kuhusu Kitini cha mafunzo kwa wawezeshaji wa Mabaraza ya watoto Tanzania wakati wa Mafunzo ya kitini hicho yaliyofanyika Mkoani Geita kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16.