Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,
Dkt.Hassan Abbasi akizungumza katika Mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Paramagamba Kabudi, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuhusu Mkutano Mkuu Nchi wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ambapo Tanzania watakuwa Wenyeji Wa Mkutano huo mapema Mwezi Agosti 2019.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Prof.Paramagamba Kabudi, akisisitiza Jambo wakati wa Mkutano wake ,Wahariri, na wamiliki wa Vyombo vya Habari kuhusu Mkutano Mkuu Nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ambapo Tanzania watakuwa Wenyeji Wa Mkutano huo mapema Mwezi Agosti 2019.
Wahariri na Waandishi wakongwe wakifuatilia Mkutano wa Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Paramagamba Kabudi, Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo, Kuhusu Mkutano Mkuu wa Nchi wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ambapo Tanzania watakuwa Wenyeji Wa Mkutano huo mapema Mwezi Agosti 2019.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC, Dkt.Ayubu Rioba
akifuatilia Mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Paramagamba Kabudi, Wahariri na Wamiliki wa vyombo vya Habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Paramagamba
Kabudi, Akizungumza katika Mkutano wake ,Wahariri, na wamiliki wa Vyombo vya
Habari kuhusu Mkutano Mkuu Nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa
Afrika (SADC), ambapo Tanzania watakuwa Wenyeji Wa Mkutano huo mapema Mwezi Agosti 2019, Kutoka kulia ni Katibu MOAT, Henry Mhanika, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya siasa na Utalii, Agnes Kayola, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi.