Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Walimu na Maafisa Elimu wa jiji la Mbeya pamoja na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019. Walimu na Maafisa Elimu hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kulia kwa Waziri Mkuu) ili kujifunza.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia Walimu na Maafisa Elimu kutoka jiji la Mbeya kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019. Kulia ni mwenyeji wa walimu hao, Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE Dodoma kwenye viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE Dodoma kwenye viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajilal Jituson, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (UWEKEZAJI), Angela Kairuki (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)