MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha
Tumbo akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani
ambayo
wilayani imefanyika katika Kijiji cha Kimbo kata ya Potwe Tarafa ya
Bwembwera.

Kibona akizungumza wakati wa maadhimisho |
MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akipanda miti kwenye
maadhimisho hayo
maadhimisho hayo
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali
Sehemu ya wananchi wakifuatilia matukio hayo
MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanaasha Tumbo amewataka wazazi na na
walimu kuhakikisha kila mtoto anakuwa na mti mmoja shule na nyumbani
ikiwa ni kampeni endelevu ya uhifadhiwa wa mazingira

Amesema kuwa utekelezaji wa agizo hilo utaweza kuendesha kampeni
endelevu ya uhifadhi wa Mazingira na vyanzo vya maji jambo ambalo
litasaidia uwepo wa miti ya kutosha kwenye maeneo yenye vyanzo hivyo

Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya
Mazingira Duniani ambayo wilayani imefanyika katika Kijiji cha Kimbo
kata ya Potwe Tarafa ya Bwembwera.

Katika maadhimisho hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wizara
ya Maji,Bonde la Maji la Mto Pangani,Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
Mazingira( Tanga Uwasa),Umoja wa Utaunzaji Mazingira na Vyanzo vya Maji
mto Zigi(Uwamakizi)na viongozi wengine wa Halmashauri ya wilaya ya
Muheza.

Amesema kuwa katika kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri na rafiki kila
mwanafunzi anatakiwa kupanda miti miwili mmoja nyumbani na mwingine
shule.

” Natoa agizo kwa wazazi na walimu kuhakikisha kila mwanafunzi anakuwa
amepanda mti mmoja nyumbani na mwingine shule ili tuweze kuyatunza
mazingira na vyanzo vya maji” alisema.

Aidha alisema mbali na hilo pia kuwe na utaratibu wa kila siku watoto
wajengewe utaratibu wa kuokota takataka za mufuko ya plastiki inayozagaa
ovyo.

Awali akizungumza katika maadhimisho hayo Mwenyekiti wa m Jumuiya ya
Watumia Maji zigi juu Philipo Mdoe alisema baadhi ya wavuvi waliopo
kwenye vijiji sita vilivyopo kata mbalimbali wilayani humo wanadaiwa
kuvua kwa kutumia sumu za mimea na viwandani kwa ajili ya kuua samaki.

Alisema kwamba hatua hiyo imeanza kuleta hofu kubwa kwa watumiaji wa
maji ya Mto Zigi ambao hutumiwa na wakazi zaidi ya 600,000 waliopo
wilayani humo na Jiji la Tanga.

Aidha alisema uchunguzi walioufanya katika vijiji hivyo wamebaini kuwa
sumu inayomwagwa kwa ajili ya kuua samaki ni ile ya mimea inayojulikana
kwa jina la Deles ileya viwandani aina ya DIP inayotumika kuogeshea
wanyama.

Akielezea udhibiti wanaoufanya kudhibiti vitendo hivyo,Mjumbe wa Kamati
ya Mazingira Zigi Juu Awadhi Shauri alisema wavuvi hao hufanya kazi hiyo
nyakati za usiku kuanzia saa nane mpaka saa tisa hivyo wanaiomba
serikali na mamlaka husika kutoa msaada wa kwa sababu kamati za
mazingira zilizoundwa hazikidhi mahitaji.