Home Michezo KLABU 4 ZA LIGI KUU UINGEREZA ZAMSAKA SAMATTA

KLABU 4 ZA LIGI KUU UINGEREZA ZAMSAKA SAMATTA

0

Mtandao maarufu wa The Sun wa Uingereza umeripoti kuwa klabu za Ligi Kuu ya Uingereza ikiwemo Aston Villa, Leicester City, Brighton na Burnley zinamuwinda nahodha wa Taifa Stars na mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Ubelgiji,  Mbwana Ally Samatta kwa dau la paundi milioni 12 (Tsh Bilioni 34.9) ili kumng’oa KRC Genk ya Ubelgiji.

Source: The Sun