Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kundemba, kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kulia niNaibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonzaakizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Mpigapicha Wetu