Home Michezo LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 SPURS NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA 2018/19 MJINI MADRID

LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 SPURS NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA 2018/19 MJINI MADRID

0

Wachezaji wa Liverpool wakisherehekea na Kombe lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur, mabao ya washambuliaji Mmisri Mohamed Salah dakika ya pili kwa penalti na Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Origi dakika ya 87  Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania usiku wa jana. Hilo linakuwa taji la sita kwa Liverpool la Ligi ya Mabingwa, baada ya awali kulibeba misimu ya 1976–1977, 1977–1978, 1980–1981, 1983–1984 na 2004–2005 PICHA ZAIDI SOMA HAPA