Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wadau walioudhuria futari iliyoandaliwa na shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel kwaajili ya watoto waliofanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari wa SACH hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wazazi na watoto waliokuwa na magonjwa ya moyo na kutibiwa nchini Israel wakila futari iliyoandaliwa na shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) kwaajili ya watoto hao hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es Salaam
Madaktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel na Canada wakila futari iliyoandaliwa na SACH kwaajili ya watoto waliowahi kufanyiwa upasujai wa moyo na madaktari wa SACH hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es Salaam
Madaktari kutoka shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel katika picha ya pamoja na mzazi na mtoto waliyewahi kumfanyia upasuaji wa moyo miaka miwili iliyopita nchini Israel wakati wa futari iliyoandaliwa na SACH kwa ajili ya watoto waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari hao hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) la nchini Israel na Canada katika picha ya pamoja na wazazi na watoto waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari hao wakati wa futari kwa ajili ya watoto hao iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam.
Picha na: JKCI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wadau walioudhuria futari iliyoandaliwa na shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel kwaajili ya watoto waliofanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari wa SACH hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wazazi na watoto waliokuwa na magonjwa ya moyo na kutibiwa nchini Israel wakila futari iliyoandaliwa na shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) kwaajili ya watoto hao hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es SalaamMadaktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel na Canada wakila futari iliyoandaliwa na SACH kwaajili ya watoto waliowahi kufanyiwa upasujai wa moyo na madaktari wa SACH hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es SalaamMadaktari kutoka shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (SACH) la nchini Israel katika picha ya pamoja na mzazi na mtoto waliyewahi kumfanyia upasuaji wa moyo miaka miwili iliyopita nchini Israel wakati wa futari iliyoandaliwa na SACH kwa ajili ya watoto waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari hao hivi karibuni katika Hotel ya Protea Jijini Dar es SalaamWafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) la nchini Israel na Canada katika picha ya pamoja na wazazi na watoto waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo na madaktari hao wakati wa futari kwa ajili ya watoto hao iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam.Picha na: JKCI