Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe.
Picha na Ikulu
Waziri wa Nchi ofisi ya waziri mkuu Tamisemi Prof Riziki Shemdoe wakati akizungumza katika uzinduzi wa mafunzo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi yaliyofanyika Sumbawanga Mkoani…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mha. Wolta Kirita, amesisitiza umuhimu wa kushirikisha Vyombo vya Utoaji wa Huduma…