Home Mchanganyiko UJENZI WA FLY OVER UBUNGO WAENDELEA KWA KASI

UJENZI WA FLY OVER UBUNGO WAENDELEA KWA KASI

0

 Nguzo ya Katikati ya ya Makutano ya Barabara ya Morogoro ,Samunujoma na Mandela  ikiwa tayari imesimama kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara za juu ambazo zitasaidia kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam.
Sehemu ya Nguzo za upande wa pili ya barabara ya Mandela pamoja na mitambo ya ujenzi yakionekana katika picha .
Wafanyakazi wa kampuni ya Ujenzi ya China Civil Inayojenga barabara za juu katika Makutano ya Ubungo