Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Buyungu, Mhandisi Christopher Chiza, Bungeni jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando kwenye viwanja vyua Bunge jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Reader Rabbits ya jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Reader Rabbits ya jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)