RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar,leo 20-5-2019
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.leo 20-5-2019
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico. akisoma utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
*“Tumebeba Matumaini ya Wananchi” Mha. Saidy Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy, amesema Serikali *imedhamiria* kukamilisha miradi ya…
Shirika la Foundation for Disabilities Hope (FDH) limeipongeza Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania (PSPTB) kwa juhudi zake za kuhakikisha watu wenye…