Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akichukuliwa alama za vidole na afisa kutoka mtandao wa simu wa Airtel wakati wa zoezi la usaji wa line za simu kwa alama za vidole lililoyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Upelelzi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz akichukuliwa alama za vidole na afisa kutoka mtandao wa simu wa Vodacom wakati wa zoezi la usaji wa line za simu kwa alama za vidole lililoyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.